Hii habari ni ya ukweli, na watu wanazo hadi pc za marehemu. Ila siyo poa kuziweka hapa, pia kwenye uhakika kama alikuwa anamla kama mleta mada alivyosema, sidhan kama anauhakika kama wanafanya hilo tendo kwa waka huo. Au walikutwa wanapiga story kwny gari la huyo mke wa mtu? yote kwa yote, mfumanizi kachukua sheria mikononi kwa kumshushia kipigo hadi kusababisha kifo.