Wasemavyo majirani ni kwamba dada alikubali kutoa pesa kiutulivu ila kwa sababu ya uoga akateleza akaanguka sasa hapo ndo jambazi likadhani ndivyo sivyo likamshoot huyo dada.
Ila ki ukweli silaha ambazo hazina kibali na zenye kibali zimekua nyingi sana hapa arusha, juzi mitaa ya Unga LTD kuna mtoto wa form one kateka mishkaki mitano kutoka kwa muuza chips kwa kutumia bastola.