Habarini Jamani wa JF! Naomba mnisaidie kwani na shindwa kutofautisha mafundisho ya Bible kuhusu kuua na Utakatifu wa taifa la Israel. Bible inasema usiuue na Israel ni taifa teule mbele ya Mungu hadi hata Wagogo, Wamatumbi, Wahaya, Wahehe, Wachaga nakadharika wanadai nao ni Waisrael. Swali langu Je Taifa tukufu lina Bible yake? Mnaosupport taifa hilo nanyi mnakubaliana na mauaji ya Kigaidi na halaiki yanayofanywa na taifa hilo?
Dunia imegawanyika sehemu kuu mbili; Kuna binadamu na waislam, Binadamu akishambuliwa utasikia mashirika ya Sijui human right watch na mengine yana piga kelele, lakini akidhuriwa muislam nobody cares, sio huko tu kuna sehemu inaitwa Mynmar waislam huko wanachinjwa kama kuku nobody care! Kwa hiyo hiyo ndio Dunia mkuu!
Ila pole sana kama inakuuma.

History is about to change in the world for ever. Watch closely, you might get a chance to narrate to your grand kids.
Nipe na anwani ya watoto wako na wewe niwasimulie
Dunia imegawanyika sehemu kuu mbili; Kuna binadamu na waislam, Binadamu akishambuliwa utasikia mashirika ya Sijui human right watch na mengine yana piga kelele, lakini akidhuriwa muislam nobody cares, sio huko tu kuna sehemu inaitwa Mynmar waislam huko wanachinjwa kama kuku nobody care! Kwa hiyo hiyo ndio Dunia mkuu!
Ila pole sana kama inakuuma.
Nadhani unahitaji kuisoma Bible tena. Mungu alumwita Yakobo "Israel" maana yake "mpiganaji".Habarini Jamani wa JF! Naomba mnisaidie kwani na shindwa kutofautisha mafundisho ya Bible kuhusu kuua na Utakatifu wa taifa la Israel. Bible inasema usiuue na Israel ni taifa teule mbele ya Mungu hadi hata Wagogo, Wamatumbi, Wahaya, Wahehe, Wachaga nakadharika wanadai nao ni Waisrael. Swali langu Je Taifa tukufu lina Bible yake? Mnaosupport taifa hilo nanyi mnakubaliana na mauaji ya Kigaidi na halaiki yanayofanywa na taifa hilo?