ngomeu
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 326
- 169
Tunaomba serikali kupitia wizara yake ya mambo ya ndani,kuimarisha doria eneo la chuo hiki kilichopo Gongo la Mboto Dar,wanafunz wamekua wakijeruhiwa ovyo na wanaoitwa vibaka na kuibiwa vitu vyao,na tunaona Jumapil jion bint mdogo H.Mgaya mwanafunzi ameuawa eneo la getini maskini bila msaada wowote.IGP aangalee uwezekano wa kuimarisha ulinzi eneo hilo la chuo linaloviziwa na wengi wanaohatarisha usalama wa wanafunzi!