Kwanini Serikali kupitia Jeshi la Polisi halitoi taarifa kamili kuhusu hizi maiti zinazookotwa kila uchwao huko fukweni,kuna nini nyuma ya pazia?
Yule samaki aliyemmeza Yona alimtapika kwenye shore ya bahari. Hawa wameamua kutowameza kwa sababu Roho wa Mungu anawazuia kujiingiza kwenye dhambi hiyo kubwa bali sisi tuko very happy kuwaua wenzetu. Eeeeh Mungu uturehemuMmmh! Samaki nao hawataki kula watu wasio na hatia