Maua Seminary - padre Ladislaus Mbundu amefariki

Maua Seminary - padre Ladislaus Mbundu amefariki

fisi 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
3,284
Reaction score
4,652
nimepata msg toka Maua kuwa Baba yetu mpendwa sana Mbundu amega dunia alfajiri ya leo huko hospitali ya Kibosho . Wanamaua na wote wenye mapenzi tumwombee apumzike kwa amani.
 
Mleta habari umeleta habari yako kizandiki, kiupendeleo. Ulitakiwa kuandika kichwa cha habari Padre Ladislaus Mbundu afariki dunia.
Then ndani andika sijui maua ya maboga na kadhalika. Au ulitaka wana maua waje peke yao. Nyinyi wa seminari watoto wa mafather mna matatizo sana.

By the way, Padre Mbundu APEPE.
 
Hakika kabadilisha maisha ya wengi wetu, kwani alikuwa mfano bora ktk suala la kufanya kazi kwa bidii. Nakumbuka zaidi cku za ushirika, Azimio, mwongozo, ujamaa na umoja houses ilikuwa ni full kuchapa kazi. Ee Mungu mwenye rehema umpumzishe ndugu LADISLAUS kwa amani.
 
Father L adislaus Wanamaua tutakukumbuka kwa kilimo, mifereji ya maji barabara ,upasuaji miamba, marapidi ya kununulia mbolea, kuni mawe, Bwana Ametoa BwanaAmetwaa jina la Bwana lihimidiwe
 
Mleta habari umeleta habari yako kizandiki, kiupendeleo. Ulitakiwa kuandika kichwa cha habari Padre Ladislaus Mbundu afariki dunia.
Then ndani andika sijui maua ya maboga na kadhalika. Au ulitaka wana maua waje peke yao. Nyinyi wa seminari watoto wa mafather mna matatizo sana.

By the way, Padre Mbundu APEPE.

Kenge wengi, msafarani
 
Poleni sana wana kanisa na watanzania wote,bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

N:B Jamani msiba ni wa watu wote msipende kubinafsisha mno matatizo ili yaonekana ni kwa jamii fulani tu.
 
RIP Nd. Ladislaus, forever in our hearts; nakumbuka wazee wa Pionjaer, na Rapid,@ Ngapemba, Majembe, Florence Njagu Pat, Mue river etc
 
Naikumbuka ile swimming pool, yale mashamba ya ushirika, mifereji, kupangiwa wajibu, kurina asali.

he was a father, priest, an entrepreneur, a hardworker and almost he was everything.

Miaka yangu 6 pale Maua nilijifunza mengi sana ambayo yananifanya niwe kama nilivyo.

Tutakukumbuka kwa mengi.

Rest In Peace Ft. Ladislaus Siegwat.
 
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya fr.Ladislaus mahala pema peponi.AMINA!
 
Nakumbuka sana siku tuliyozibua naye vyoo nilikuwa naona shida lakini yeye alikuwa poa na ana enjoy kazi kama kawaida bila Yeye Maua isingekuwa kama "Ilivyokuwa"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom