Maua Sama msanii bora wa kike

Maua Sama msanii bora wa kike

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,027
Huyu ndio msanii wangu bora wa kike kwa sasa,ana sauti nzuri,melody inanoga, na producer wake anatoa audio njema kabisa.Pambana dada muziki wako mtamu.
 
ndio nani huyo hebu weka nyimbo zake angalau mbili tuzisikilize ndio na sisi tuchangie
 
Huyu dada kwa kweli nyimbo zake zina ladha ya kipekee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom