Mpendwa Bibi yutong,
Kutokana na juhudi ulizoonesha kwenye kuchangia katika uzi huu pamoja na malalamiko kadha wa kadha uliyotoa kuhusu ukubwa wa bei ya bidhaa, nimeamua kukupa punguzo la asilimia 99% na hivyo kukuuzia bidhaa hiyo kwa shilingi za kitanzania 69,000 taslimu. Ukiwa tayari umeshakusanya kiwango hicho cha fedha kuwa huru kuwasiliana nami wakati wowote nikupe bidhaa hiyo. Nitahakikisha nimeiweka tu kukusubiri utakapokuwa tayari kwa malipo.Kama una malalamiko zaidi au unahitaji punguzo zaidi usisite kuwasiliana nami au kuandika tu katika uzi huu. Usiwe na hofu kuhusu ukarabati wa bidhaa baada ya manunuzi kwani nimeamua nitakufanyia bure kwa kipindi cha miaka 10. Ingawa sijaamua kuwa nakujazia mafuta, jisikie huru kuwasiliana nami wakati wowote utakapohitaji hela ya mafuta pia baada ya manunuzi. Ila kuna
sharti moja tu: Nitumie picha yako nione kama unafaa kupewa punguzo hilo na marupurupu hayo. Nakushukuru sana na natumai tutafanya biashara.
Ma-salaam,
CarForSale
PS. Tuma picha kwenda
BlackMamba@BigBlackDudes.com