Sijajua kwa nini tangu kampeni zimeanza jamaa kakomalia matusi na mipasho tu. Inanishangaza sana.? Sijui ni IQ ndogo au nini.? Kwani akipanda jukwaani akisema ccm itafanya 1 2 3 nk atapungukiwa nini.!?
Dah! Kama mm yaan bora MTU Anipige kibao kuliko kuchezea kichinjio Chang naenda kuwachinja sisiem kama kukumi kila kukikucha naangalia kichinjio km kipo
Sijajua kwa nini tangu kampeni zimeanza jamaa kakomalia matusi na mipasho tu. Inanishangaza sana.? Sijui ni IQ ndogo au nini.? Kwani akipanda jukwaani akisema ccm itafanya 1 2 3 nk atapungukiwa nini.!?
Sijajua kwa nini tangu kampeni zimeanza jamaa kakomalia matusi na mipasho tu. Inanishangaza sana.? Sijui ni IQ ndogo au nini.? Kwani akipanda jukwaani akisema ccm itafanya 1 2 3 nk atapungukiwa nini.!?
Makongoro utadhani mtoto wa mitaani hata hekima ndogo ya baba yake hana japo amekulia ikulu ni aibu sana kwa taifa la tz