kuna mdada ni rafiki yangu ana mtoto,ni mwalimu,ni graduate,mtaratibu na anaimba kwaya,aliolewa wakaachana na mume wake!nimekaa nae miaka karibu sita namfahamu vizuri na katika miaka yote hiyo huwa najiambia mume wake hakujua ameachana na lulu kiasi gani!unaweza kunipm kwa taarifa zaidi