Matunda ya Helicopter ya Nape Nnauye


Ngoja waje.
 
😃😆😅🤣
Bongo hatari sana aise. Matumizi ya L na R katika mitamko na uandishi ni JANGA LA TAIFA.
Tenda mtu ukipewa unapewa hadi kuandika nini? Hapo Tatizo liko.kuanzia kwenye tenda hadi kuandika , kupokea kibao kudhibitisha,kusimika hadi kulipa!!! Sio tu Tatizo la R na L!!!
 
Watu mnang'aka hivi hiyo picha imepigwa hadi chini..? Mbona mi naona bado ipo nusu! Hiyo ni Sawa na mtu alalie mto halafu ajipige picha nakusema amelala ilihali kasimama tu!.

Leteni picha inayoonyesha bango zima kuanzia chini.
 
Sio hao waliondika ,kupokea hivyo.vibao na kusimika ni wasomi waliosoma madrasa za kiislamu tena hapo wamejitahidi misikitini wanasifiwa kuwa ndio wasomi
Ngoja waje wale wa siasa kali,
Yatakayokupata usije ukaomba poo😄
 
Labda uniambie muda,ila sio pesa!
 
Katika zoezi la kuweka anuani za makazi, kuna hii kitu nimekutana nayo,imebidi nijiulize ni wameandika hivi bahati mbaya, hawajui maneno sahihi au wameamua tu kumhujumu mama yetu kipenzi aonekane kashindwa kusimamia zoezi?

View attachment 2200130
Sema mama yako sio mama yetu na sio kipenzi chetu jisemee nafsi yako
 
Katika zoezi la kuweka anuani za makazi, kuna hii kitu nimekutana nayo,imebidi nijiulize ni wameandika hivi bahati mbaya, hawajui maneno sahihi au wameamua tu kumhujumu mama yetu kipenzi aonekane kashindwa kusimamia zoezi?

View attachment 2200130
kitu hiki ndiyo anuani za makazi? Mi nikajuwa kumtambuwa mtu mtaa anaoishi na nyumba yake.Sasa kama ni hivyo tu sisi wananchi tunatumiwa sms tushiriki nini?Na hi ndiyo imemfanya waziri NAPE kupaa na chopa?Msaada.
 
Labda huyo Load ni babake Nape, nasikia amekulia fatherless kama Zito, ndo maana no respect, no maadili hata utu tu hawana!
 
Sasa hapo mambo ya dini yameingiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…