Matumizi yangu Juni

Matumizi yangu Juni

Naandika tu matumizi maana ndo nataka niyacontrol coz nafanya biashara
Sahv gar lilizingua ambalo ni la kazi pia na kuweka hella forex ndo kumepandisha sana matumizi
Kwahiyo huko forex kulikuwa kuna hali gani mkuu mpaka ukaamua kutupia ½ ya mapato yako ya mwezi june kideposit huko
 
watu wanaona nyingi Ila ukiwa unaandika matumizi yetu ni makubwa.
Tena vitu vidogo vidogo ndio vina chukua hela nyingi sana..

Sasahivi najitaahidi kuandika kila tumizi..ili niweze control matumizi baada ya kufahamu wapi hela nyingi inatumika.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni kama dollar 400+ hizi ukitulia vizuri unatakiwa upate ata dollar 10-50 kwa siku
 
Tena vitu vidogo vidogo ndio vina chukua hela nyingi sana..

Sasahivi najitaahidi kuandika kila tumizi..ili niweze control matumizi baada ya kufahamu wapi hela nyingi inatumika.

#MaendeleoHayanaChama
hongera mkuu kwa utaratibu mzuri.
 
Kwahiyo huko forex kulikuwa kuna hali gani mkuu mpaka ukaamua kutupia ½ ya mapato yako ya mwezi june kideposit huko

Plan yngu forex ndo iwe inalipia matumizi yangu ya kila siku ili biashara ijikuze yenyewe
Nmewekq ella kubwa ila natembea na lot size ndogo sana
 
watu wanaona nyingi Ila ukiwa unaandika matumizi yetu ni makubwa.

Huo ndo ukweli,
Nakaa wiki nzima nanyima madem tofauttofaut hella ila siku dem flan unamtokea mnatoka out, mnakula na kunywa na mwisho wa siku sababu ya mtoko umeunguza 70k fasta tu
 
Tena vitu vidogo vidogo ndio vina chukua hela nyingi sana..

Sasahivi najitaahidi kuandika kila tumizi..ili niweze control matumizi baada ya kufahamu wapi hela nyingi inatumika.

#MaendeleoHayanaChama

Ukiandika kila kitu utashangaa matumiz yalivyo makubwa
Download app inaitwa SPENDING
 
Unafanya forex..na ni kiasi gani inakuingizia..mpaka uiwekee hela nyingi hivyo.?

Nakushauri anza kuweka hela ya sadaka na sadaka sio lazima uipeleke kanisani..sadaka wape wahitaji hasa wenye njaa..wenye ukosefu wa mavazi..waweza somesha mtoto toka mazingira magumu..n.k.

Itafungua milango mingi sana mana maandiko yanasema ni heli mkono utoao kuliko upokeano.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu kusaidia watu sio sadaka ni msaada,biblia iko wazi sadaka zinavyotolewa.

Mfano fungu la 10 ndo ata usijidanganye kumpa masikini, mana hiyo ni ya Mungu, peleka kanisani kama ilivyo.

Malaki 3:10

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Sio lazima kanisani pia, kuna sehemu fungu la kumi wameandika kimsingi litumike 'kula bata' wewe na wanafamilia wako Kumbukumbu la Torati 14:22-29

Kwa mtoa mada: wazo la kuwa na hiyo app ni zuri nimelipenda wengine tunatumia tu hatuandiki. Kulijua tatizo ni hatua kubwa sana kusolvu matumizi binafsi
 
Back
Top Bottom