Matumizi yangu Juni

Matumizi yangu Juni

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,520
Reaction score
2,820
Apo nimeweka tu ila forex imechukua sehem kubwa ya matumizi mwezi huu
Mtu mwenye upeo anaweza jua mimi ni mtu wa aina gani, labda -kwenye matumizi yangu hakuna sehem ya sadaka, ko sijaenda kanisani mda
IMG_0553.jpg

IMG_0554.jpg
 
Apo nimeweka tu ila forex imechukua sehem kubwa ya matumizi mwezi huu
Mtu mwenye upeo anaweza jua mimi ni mtu wa aina gani, labda -kwenye matumizi yangu hakuna sehem ya sadaka, ko sijaenda kanisani mda
View attachment 2278512
View attachment 2278513
Acha umalaya kaka, baki njia kuu, unatumia sana kwa wanawake wasio wako na dem wako hutumii sana
Muweke ndan huyo dem matumizi ya kuhonga yatapungua
 
Afu matumizi makubwa hamna Wazazi, wewe mtu we
 
Chakula kinachukua sehemu kubwa sana ya matumizi yangu ikifuatiwa na usafiri.

Tupeane mbinu za kupunguza haya matumizi nyie mnafanyeje katika hili.?

#MaendeleoHayanaChama
20220702_085545.jpg
 
Naandika tu matumizi maana ndo nataka niyacontrol coz nafanya biashara
Sahv gar lilizingua ambalo ni la kazi pia na kuweka hella forex ndo kumepandisha sana matumizi
Unafanya forex..na ni kiasi gani inakuingizia..mpaka uiwekee hela nyingi hivyo.?

Nakushauri anza kuweka hela ya sadaka na sadaka sio lazima uipeleke kanisani..sadaka wape wahitaji hasa wenye njaa..wenye ukosefu wa mavazi..waweza somesha mtoto toka mazingira magumu..n.k.

Itafungua milango mingi sana mana maandiko yanasema ni heli mkono utoao kuliko upokeano.

Kwa sasa mi ni among losers in most part
 
Acha umalaya kaka, baki njia kuu, unatumia sana kwa wanawake wasio wako na dem wako hutumii sana
Muweke ndan huyo dem matumizi ya kuhonga yatapungua

Natak nitulie ila tamaa tu
 
Back
Top Bottom