Malaika AD
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 496
- 316
Habari zenu humu,
Wafugaji wapo wengi jamani wewe fuga kuku, wenzako wanafuga ukucha, kha! Hawa wafugaji wako vijijini na mijini, hivi katika pitapita zako mdada ukikutana na mwanaume amefuga ukucha mdogo wa mwisho inakujia picha gani! Kuna mtu kaleta shuhuda za mambo ya ukucha, basi watu wanambishia hawaamini.
Mimi nilichogundua hawalielewi hili jambo la huu ukucha wa kidole kidogo. Maana wanaona ni uchafu na utovu wa kinidhamu mtu na heshima zako kujifugisha ukucha wapi na wapi, wengine wanaona ushamba (jambo la kizamani) tu kwakua wala haina umuhimu sana.
Kuna wanaosifia matumizi yake hadi kuwavutia wengine kutaka kuonja inakuwaje kuwaje? Mmmmm! Leo hii kuna mbabu asubuhi nimekaa nae jirani kanisani umri unaonesha ashajichokea, lakini kutupa jicho kidoleni ana ukucha wake kaufuga mrefu! Au wengine wanaishi familia humo ndani utaona kaka mtu kafuga ukucha, heeee! Nini matumizi yake?
Jamani watu wengi tu hawajui ule ukucha unatumikaje, wengine wanachojua ni unatumika wapi lakini jinsi ya kuutumia hawajui. Sio jambo geni maana kuna vijana kwa wazee wamefuga huo ukucha wa kidole cha mwisho (ingawa ni wachache). Lakini kuna wanaofuga kuiga mkumbo tu na hawajui wautumie vipi, ndo hapo linapokuja suala la kuparuana na kuumizana.
Basi ninyi mliowahi kutumiwa kwa ukucha na wanaume mliofuga huo ukucha fungukeni mueleze kunanini huko kwenye huo ufugaji na jinsi ya kuutumia watu waongeze maarifa.