Matumizi ya simu za mkononi kazini wizara ya afya

Matumizi ya simu za mkononi kazini wizara ya afya

Watu acheni ubinafsi. Wewe ukiwa na shida watu waache kila kitu wakuangalie wewe tuu? Hao madaktari wana familia zao,zinawahitaji, wana shughuli zao zingine pia. Cha muhimu ni kubalance tuu. Kwa mshahara upi mtu azime simu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu yote ni mipango ya mungu jikaze naamin mungu atakupa tu
Hayo ya binadaam yaache yalivo ndo hali za hospital zetu pole sanaaa
 
Watu acheni ubinafsi. Wewe ukiwa na shida watu waache kila kitu wakuangalie wewe tuu? Hao madaktari wana familia zao,zinawahitaji, wana shughuli zao zingine pia. Cha muhimu ni kubalance tuu. Kwa mshahara upi mtu azime simu??

Sent using Jamii Forums mobile app
Habar enyewe haiko kitalaam so
waache walaum tu ila hakuna mtu wa afya atakae acha maisha ya mwenzie yapotee ila hawajui tu hawa.
 
According to mleta uzi mgonjwa wake aliachwa bila huduma, manesi wakiwa busy na simu let's say walikua wanahudumia wagonjwa wengine kupitia simu while kuna mgonjwa anayehitaji huduma yupo mbele ya macho yao hakika huo ni upuuzi wa hali ya juu.

sent from kuzimu
Kwa kawaida hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia kwenye chumba cha kujifungulia yeye aliingiaje ndani ya chumba na ni mwanaume

Acheni umbea

Kazi kuleta majungu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawakuwa bize na wagonjwa wengine walikuwa bize tu na simu, sababu doctor alikuwa amepita na amechukua vipimo kwa wagonjwa na mgojwa wangu tayari alikuwa ameisha pata huduma toka kwa doctor kilichobaki ni kuingia chumba cha wazazi tu, baada ya uchungu kuanza alimuita nes na nes wala hakuenda ikabidi asukume tu bila ya msaada wa nes baada ya kutoka mtoto amekufa ndio wakaja wakaanza kuulizana namna ya kuandika report.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila haya ni majungu tu hakuna uhakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia kwenye chumba cha kujifungulia yeye aliingiaje ndani ya chumba na ni mwanaume

Acheni umbea

Kazi kuleta majungu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui mazingira ya hiyo hosp. ila kuna baadhi ya maeneo wanaruhusu mume au ndugu wa kike wa karibu kushuhudia wakati wa kujifungua mwanamke.
 
Hawakuwa bize na wagonjwa wengine walikuwa bize tu na simu, sababu doctor alikuwa amepita na amechukua vipimo kwa wagonjwa na mgojwa wangu tayari alikuwa ameisha pata huduma toka kwa doctor kilichobaki ni kuingia chumba cha wazazi tu, baada ya uchungu kuanza alimuita nes na nes wala hakuenda ikabidi asukume tu bila ya msaada wa nes baada ya kutoka mtoto amekufa ndio wakaja wakaanza kuulizana namna ya kuandika report.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu inatia uchungu sana huo ni uzembe, mwezi nne dada yangu kafariki hospital iyoiyo baada ya kujifungua mapacha.

sent from kuzimu
 
Kwa kawaida hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia kwenye chumba cha kujifungulia yeye aliingiaje ndani ya chumba na ni mwanaume

Acheni umbea

Kazi kuleta majungu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekurupuka mkuu ndio maana nilianza na "according to mleta uzi" nikimaanisha maoni yangu yanabase kwenye maelezo ya mleta uzi sasa wewe unakimbilia acheni umbea sio jambo jema kuwa mkurupukaji.

sent from kuzimu
 
Back
Top Bottom