Hivi kwanini ukipanda ndege zetu za hapa bongo huwa wahudumu wa ndege wanakulazimisha kuzima simu......wakati simu nyingi huwa zina flight mode .....
Hivi kwanini ukipanda ndege zetu za hapa bongo huwa wahudumu wa ndege wanakulazimisha kuzima simu......wakati simu nyingi huwa zina flight mode .....
umeongea vyema rubanikwa kawaida unapaswa kuiweka kwenye "flight mode" yaani kwenye mode ambayo "network" itakuwa off.lakini kutokana na uzito wa uelewa wetu ndo maana huwa tunaambiwa tuzime.kwa kawaida tunapaswa kuzima wakati wa kupaa "takeoff" na wakati wa kutua "landing".ila ndege itakapokuwa imetulia angani 35,000ft or above unaruhusiwa kutumia simu,ila kwa bahati mbaya sana kwa umbali huo kutoka ardhini katika maeneo mengi huwa network haipatikani.
umeongea vyema rubani
hahahaha ningekuwa mmoja ningeringaje?i like the job though sikuwa na qualifications ya kufikia huko
Kwa kuwa ninyi wabongo ni washamba kiasi kwamba mkiambiwa flight mode hamjui, pia wengi mnatumia vitochi visivyo na flight mode...
Kuna Siku Npo Kwenye Fastjet Mbeya To Dar Mhudumu Pamoja Nakumuelewesha Kwamba Simu Yangu Ina Flight Mode Ila Bado Aliningangania Ni Switch Off.
tungeenda kula bata na ndege
Kwa kuwa ninyi wabongo ni washamba kiasi kwamba mkiambiwa flight mode hamjui, pia wengi mnatumia vitochi visivyo na flight mode...
hahahahaha hadi kuku wangeona wivu
ha ha ha yani wangejuta
Ni mbwembwe tu za aviation tactics
Kwa kuwa ninyi wabongo ni washamba kiasi kwamba mkiambiwa flight mode hamjui, pia wengi mnatumia vitochi visivyo na flight mode...