Kwenye joining instructions ya shule zote za serikali imewekwa marufuku ya simu kwa maandishi meusiKitu cha muhimu ni kuwaelimisha watoto juu ya uzuri na ubaya wa matumizi ya simu. Hasa mtoto anapokwenda shule ya boda. Sasa hawa watoto waliofukuzwa shule walipewa warnings kabla au ni hatua gani zilichukuliwa? Wengi simu walinunuliwa na wazazi wao bila ya shaka
Mawasiliano ya simu hufanywa na mzazi kupitia simu ya mwalimu.
Hao watoto waliokutwa na simu walikosea sana na wamewapa shida wazazi wao haswa baada ya kufukuzwa kabisa itabidi wakarafutiwe shule binafsi za kulipia tofauti na za serikali ni 20,000 tu kwa mwaka