Matumizi ya simu katika Mahusiano

tatizo lako ni mwoga!..kesto tatu unaanza mbwembwe mara ooh!..''WASHKAJI NOMA HOME WATAMAIND,WATANIFUNGIA MLANGO...''

watoto wa mama mna matatizo

Mtoto wa Mama? Hadumishi MILA kwani?
 
Chimunguru wewe ni He? samahani kwa kukuuliza swali la nguoni.
 
Hapa naona HAKUNA MDUMISHA MILA!
 
Carmel hii njia yako ya kujievalute nimeipenda thou ukiwa na mume kama Iribin au Goeff utahitaji kamoyo ka kichina hahaaaaaaa!!!!!! wapwa msinitungue tafadhali!!!!
Na ndo maana nikasema it depends, and in order to be safe, dont try this at home.
 
..........hamna kitu hapa!
 
Na ndo maana nikasema it depends, and in order to be safe, dont try this at home.

hahaaaa bora nijaribu wrestling kuliko hii, ntafariki dunia 'immediately' lol!!!!
 
Hapa naona HAKUNA MDUMISHA MILA!
jana nilimwambia Geoff kwamba babu yangu alinimaindi nilipomwambia kwamba nimekonfesi, akasema atanipa radhi. ikabidi nimwambie NIKO TAYARI KUDUMISHA MILA.
akanigongea senksi palepale!!!
 
mmmh MJ1!!!! unakuwa umeshiba kweli kweli zaidi ya kutosheka!!!

Afu na wewe Magdalene, simu yako unaweza mwachia yule bf wako mwenye wivu kama jogoo?
 
Dawa ya moto ni moto SECURITY CODE mpaka kwenye phone book.
 
jana nilimwambia Geoff kwamba babu yangu alinimaindi nilipomwambia kwamba nimekonfesi, akasema atanipa radhi. ikabidi nimwambie NIKO TAYARI KUDUMISHA MILA.
akanigongea senksi palepale!!!

Ukirudi home mtwange babu na kesto mbili baridi kwa ajili ya afya yake! Mwambie wajukuu zake tunafuata nyayo, katu hatutarudi nyuma! MILA iz zea to STAY!
 
Afu na wewe Magdalene, simu yako unaweza mwachia yule bf wako mwenye wivu kama jogoo?

hahaaa anachabo hadi PM humu zangu!!!! lol!!! kazi kweli kweli!!! namwachia atakayoyakuta humo ayahimili!!!
 
hahaaa anachabo hadi PM humu zangu!!!! lol!!! kazi kweli kweli!!! namwachia atakayoyakuta humo ayahimili!!!

Ni haki yake. Na wewe unakamata simu yake? Hupati shoti?
 
Ukirudi home mtwange babu na kesto mbili baridi kwa ajili ya afya yake! Mwambie wajukuu zake tunafuata nyayo, katu hatutarudi nyuma! MILA iz zea to STAY!
daima MBELE!.....n....a MWIKO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…