Matumizi ya simu katika Mahusiano

lakiii unajua kuna mbinu mpya imegundulika namna ya kuiblock simu yako unapolala kwa CALL BARRING!ukiweka hiyo unamuachia simu wife hata siku mbili haiiti,wala sms haiingii lakini inatoa tu

vipi niiweke hadharani..........?

Geoff, tuwekee tuokoe hizi ndoa, kwani wake tunawapenda lakini vibinti navyo, mmmmmm!!!!
 
chrissPIN kuwa fea bana weka pin na kwa bimkubwa! kabimkubwa kangu kana wivu wa kizembe kanaonea wivu mpaka walemavu.

Hahahahaaa! labda mkuu anakujua kwa mipira ya kudundadunda hukosi goli.
 
Hongera sana. Me I did what I managed to do in vain so nimenyanyua mikono ka mzee wa konyagi
 
mimi nadhani ungekaa hivyo hivyo tu!at least kuna harmony ndani ya nyumba

ingawa mtu kama mimi tunaosimuliwa tunahisi kama jamaa UNAMUOGOPA KULIKO INAVYOSTAHILI...!well,sio kitu kibaya kwasababu pia hatujui BACKGROUNDS ZENU

yani hapo upo wrong kichizi.....yaani ni mazoea hayo tu hayajaniingia akilini, sio kwamba naogopa kwamba nitakuta vicvokutwa, hapana kabisa, na yeye mwenyewe huwa anagomba juu ya hili na anaona kama cmwamini kabisa, lakini ndivyo ilivyotokea, ndio ngoja nianze sasa, taratibu taratibu...mie napenda kumpa uhuru na fone yake wakati mwingine tukiwa pa1 ikiita ndio ataniambia hebu mpokee mwambie hivi na vile...ngoja nijifunze kusoma sms sasa.
 
jamani eeh!nitairusha tena hiyo CODE ya call-barring ili tuzinusuru hizi ndoa......!lakini nitaiondoa after five minutes,TUPO PAMOJA?
 
mmmmh!!!!!!
 
inategemea na mambo mengi tu kaka yangu, kila mtu anaweza kushindilia chakula kadiri ya tumbo lake na kutegemea ni chakula cha aina gani ukilazimisha zaidi ya hapo ni tabu tupu, we can only do our best au?
 
Umeshacheki BP yako siku za karibuni? Kama bado nakushauri ukacheki kwanza!
 
Afadhali kwa utaratibu huo presha kwako utaisikia kwa jirani tu, kwani kuchunguza simu yake utakuja muacha mume bado unampenda.
 
kwa ninavyokutathimini NYAMAYAO naona uko TOO EMOTIONAL,..!i mean unaweza kumbana na mkiki mkiki wa kawaida ukakutengenezea stress.i suggest wewe uendelee hivyo hivyo KUAMINI,KUJIPA MOYO NA KUTO TEMPER NA HIYO SIMU

hapo umenipata kabisa,.....nimekuelewa G.
 
Have you ever hear something like WHEN A WOMAN IS FED UP?
Let me tell u a secret...........No man is a better man, we r all the same, bileave me you!!!! I hope have no plans to run up or down to another
 
Umeshacheki BP yako siku za karibuni? Kama bado nakushauri ukacheki kwanza!
kuhusu kusoma sms, jamani msifurahie kukuta sms zako tu kwenye simu ya mai waifu wako ukajihisi ndio umefika!!!, lols kuna zile zinajibiwa na kufutwa ASAP!!.
 
inategemea na mambo mengi tu kaka yangu, kila mtu anaweza kushindilia chakula kadiri ya tumbo lake na kutegemea ni chakula cha aina gani ukilazimisha zaidi ya hapo ni tabu tupu, we can only do our best au?
...........lakini PATIENT IS LOVE!unajua kila nikiikumbuka hii incidence huwa najichukia sana,najiona nilishindwa kuwa considerate!maanake mimi ni kwamba seriously niliamua kumuacha na nikatafuta kitoto kingine.lakini yeye aliendelea kukomaa!

leo hii ananiambia aliamua kufight for what belonged to her kwasababu alishaweka 'an oath' kwamba G will be her first man to know her!...ishu ya kuoa mimi ndiye niliyeamua
 
Let me tell u a secret...........No man is a better man, we r all the same, bileave me you!!!! I hope have no plans to run up or down to another

Unafikiri hiyo siri basi? Wanaijua sana tatizo hawaielewielewi kwa makusudi!
 
kuhusu kusoma sms, jamani msifurahie kukuta sms zako tu kwenye simu ya mai waifu wako ukajihisi ndio umefika!!!, lols kuna zile zinajibiwa na kufutwa ASAP!!.

ndio mana mie najionelea niachane na mambo ya fone kabisa.
 
Ukirudi home, mtwange MSHIKI busu moja kwa heshima yangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…