heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Kama kwa mwali kwaliwa na kwa kungwi kuliwe
Ukipenda kugusa sim ya mwenza wako basi na wewe ukubali yako iguswe.....
Kama kwa mwali kwaliwa na kwa kungwi kuliwe
Ukipenda kugusa sim ya mwenza wako basi na wewe ukubali yako iguswe.....
jina lako limeingiliwa nimeona coment fulani hapo juu
hivi jaman wadau kuna ulazima wowote wapenzi au wanandoa kukaguliana simu??na kwnn wengne huwa wanapenda kukagua cm za wapenzi wao lkn za kwao wakali kweli hawataki ht uguse
mapacha hao usishangae!!!
unajua kwa sisi wanaume huwa tuna connection nyingi hasa za kifedha hivyo cm yangu si busara sana kwa mwenzangu aiguse ila ya kwake nitaigusa kama hafanyi kazi!!!!
kama anafanya kazi siigusi
:yo:
Hivi jaman wadau kuna ulazima wowote wapenzi au wanandoa kukaguliana simu?
Kwanini wengne huwa wanapenda kukagua simu za wapenzi wao lakini za kwao wakali kweli hawataki hata uguse?
Duh naona maheaven mmekitana... Na mimi ntakuja na heaven on ocean au heaven on sky kabisaKwa mfano wewe uko upande upi?
wa kukaguwa vya mwenzio ila vya wewe hakuna ama???
unaposema neno kukagua, ina maana humuamini mwenzio, so unatafuta makosa ili mgombane.Hivi jaman wadau kuna ulazima wowote wapenzi au wanandoa kukaguliana simu?
Kwanini wengne huwa wanapenda kukagua simu za wapenzi wao lakini za kwao wakali kweli hawataki hata uguse?
jina lako limeingiliwa nimeona coment fulani hapo juu
Kwa mfano wewe uko upande upi?
wa kukaguwa vya mwenzio ila vya wewe hakuna ama???
Kama kwa mwali kwaliwa na kwa kungwi kuliwe
Ukipenda kugusa sim ya mwenza wako basi na wewe ukubali yako iguswe.....
mmoja ni mke wa diamond domo!" .......... cjuagi ni yupi kati y hao wawili.
Mimi sioni tatizo kabisa hapo kwenye kuliwa huku na huku hakuna cha peke yako aisee sasa unakagua nini manake kama ni mkeo kubanjuliwa atabanjuliwa tuuuuuu tatizo kukubali ukweli