Surgical Blade
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 349
- 16
kwa kawaida Nokia symbian, zimetengenezwa kiajabu sana!
Nyingi sana zina RAM MB 128 kama nokia C5 yenye internal memory 50MB
na N73 yenye 42MB
unapo tumia web browser ya kawaida katika sim hz mara nying utakuta iki display kwamba MEMORY FULL,
Lakin utakuta una space ya kutosha tu kwenye cm yako,
ila kumbe tatizo ni RAM kias cha RAM 128MB ni kidogo sana kwa sim hz,
FAIDA ZA OPERAMINI
ukifungua page yenye 1MB Katika browser ya kawa ida itafunguka kama ilivyo
ila ukitumia OPERAMINI page ita ji compress na kufunguka haraka 2.p
HASARA ZA OPERAMINI
operamini nying za symbian hazina uwezo wa ku DOWNLOAD vi2 viwili at the same tym tofaut na browser ya kawaida yenye uwezo wa kudownload hata vitu vitatu kwa wakat mmoja: