mkaamweusi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 618
- 828
Lakini kiuhalisia wengi wanafanya kiunafiki hawamaanishi ndani mwao kuwa kweli ww ni boss,.ni kama funika kombe mwanaharamu apite,.Mteja mfalme kibongo bongo ukimwita mtu boss hata kama alikuwa anapita njia anaweza kujitutumua akanunua
Mom who is real nowadays unakaa ndani na mkeo au mumeo anakufanyia unafki sembuse mpita njia thts how capitalism worksLakini kiuhalisia wengi wanafanya kiunafiki hawamaanishi ndani mwao kuwa kweli ww ni boss,.ni kama funika kombe mwanaharamu apite,.
Unafiki ni kitu kibaya zaidi ya sumu....Mom who is real nowadays unakaa ndani na mkeo au mumeo anakufanyia unafki sembuse mpita njia thts how capitalism works
hahahaha subiri wajeHaha haha mmeikumbusha ONTARIO..salute bosses...kumbe ilikuwa gate au angle ya kuwapiga watu hela