Hii bajeti ni ya nani Mr Rocky???
paty ni balaa aiseaiseeeeeeeeeeeeeeeee. uyu anapishana na mimi kidooooooooooooooooogo, iyo pesa ya wanawake achanganye kwenye pombe hapo tutakuwa sawa. drink beer to save water... chezea monde wewe
Preta sasa mbona sikuoni kwenye mambo yetu yale aisehuyu tunafanana kabisa....ila tofauti yangu na yeye ni hapo kwenye prostitutes........
MASKINIJEURI zote hizo zinaingia kwenye hayo mengineyo hata kama hazitatosha zinavushwa mwezi unaofuataHapo naona umesahau michango ya kijamii mkuu (Harusi, Misiba na kuchangia Chama chako cha Siasa
madame x hakuna bana ni nyie mnatufanya tutenge budget kwa ajili hiyo unafikiri wasingekuwepo budget ingekuwepokwanini mnawalani wauzaji kumbe soko lina bajeti kubwa hivi?
Dodoma one ni balaa aiseHayo ndio matumizi sahihi kabisa ya ngawila wewe.
pmwasyoke mwangalukaMwazuka Bwanji Mr Rocky?
jamani si aoe tu kupunguza matumizi yasiyo yalazima
Nani kakundanganya wewe? Hapo ndio matumizi ya kishzi yanaongezeka....
hajui kuwa kuna nyumba kubwa na ndogo na ukishaoa sasa zile zinakuwa na matumizi makubwa zaidi