aiseeeeeeeeeeeeeeeee. uyu anapishana na mimi kidooooooooooooooooogo, iyo pesa ya wanawake achanganye kwenye pombe hapo tutakuwa sawa. drink beer to save water... chezea monde wewe
Watu wa namna hii huishia pabaya! hivi kwa nini upende malaya kuliko kujipenda mwenyewe? unashindwa hata kuweka akiba kwa ajili ya maendeleo yako binafsi? toa hata mchango wa kujenga msikiti. Hawa huishia kuchoma makanisa yaliyojengwa na wanaojiwekea akiba na kujitoa kwa Mungu wao.