Ndondobwila
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 562
- 409
Hodi wanaJF!
Nimetonywa kuwa Lowassa anatumia ndege 3 na helcopter 1 katika mizunguko yake ya kutafuta wadhamini. Anatumia Sh. 6,000,000 kwa saa 1.30 kwa kila chombo!! Kwa leo vyombo hivi vimepaki uwanja wa ndege wa Dodoma vikimsubiri atoke bungeni.
Anasafiri na waandishi wa habari 20. Kila mmoja analipwa Sh. 100,000 kila siku. Kula na kulala ni mbali ya hiki kiasi!!!
Hela zinawasilishwa kwake katika viroba kila siku. Wachangiaji wa hizi ni pamoja na Rostam, Mengi, Azam, n.k. yaani mafisadi karibu wote wako nyuma yake!!
Swali kubwa la kujiuliza ni kwamba kawaahidi nini wote hawa?
Nimeshtuka sana kusikia kuwa Mengi ni mmoja wapo. Kumbe anapojidai kuwatetea wanyonge ni uongo mtupu!! Kaungana na mafisadi kutaka kuifisadi nchi yetu!
Source: Mwandishi wa habari aliye kwenye huo msafara.