Matumizi ya kondomu na maudhi yake

Kiukweli kwenye enjoyment condom kidogo ina tofauti, huwezi kuenjoy kula pipi na ganda lake ni lazima ganda litolewe ndiyo usikie radha halisi hivo si wanaume tu ambao hawasikii ile ladha halisi hata sisi wadada tunakua hatuufeel ule mti nyama wenyewe og sababu ya condom.

Ila sasa hiyo ndiyo njia madhubuti ya kujikinga na maradhi na unplanned pregnancies na haina lawama. Je tusitumie condoms tukaenjoy tendo kwa muda huo then the rest of life tukajutia ama tutumie ili na kesho tuendelee kuishi bila majuto. Heri nusu shari kuliko shari kamili.kumeza dawa kila siku siyo poa🤔, Tutumie condoms ,ama tubaki njia kuu na tuhakikishiane tunakuwa waamnifu kwa wapenzi wetu, je tutaweza hasa wanaume mnaweza bila kuwa na vitamaa tamaa huko pembeni?
kwann tusiweze? Kumbuka tamaa ni yabia ya kujiendekeza lakin mtu unaweza ridhika na ukaenjoy na huyo mmoja
 
Kwel lakin wapo wanao aminika pia. Cha mhimu jitaidi kutafta mtu ambayw sio watamaa tamaa ambaye yupo tayar kuwa na ww na kuridhika
Anaweza akawa hana tamaa ila kajikwaa.Bora kupima hapohapo. Buku 5 ikuue? Nunua pima
 
Inatakiwa uwe na mwanamke aliyetulia....kama haumuamini haina haja ya kuwa nae...M/ke aliyetulia anajulikana 100% ,mcharuko anajulikana pia....Mimi demu waruwaru namjua kwa kumuangalia tu macho juu juu.
Anaweza akawa macho jujuu kumtafuta mume sahihi,au macho chinichini akitafuta danga kama wewe uwaaminiye
 
Kwan huo ugonjwa unachukua mda gan had kuonekana kwenye kipimo? Tuanzie hapa kwanza
Dakika 5 hazipiti ushajua...ila kama aligongwa mwez mmoja kabla ya kukutana kipimo chaweza soma hana kumbe keshaukwaa.
 
Dakika 5 hazipiti ushajua...ila kama aligongwa mwez mmoja kabla ya kukutana kipimo chaweza soma hana kumbe keshaukwaa.
Nilikuwa namaanisha toka kuambukizwa inachukua mda gani kuonekana kwenye kipimo.
Sasa ndani ya ndan ya huo mwezi mmoja kipimo kinakuwa kinasoma negative? Hapo hawezi kukuambukiza ndan ya huo mwezi mmoja?
Na inachuka mda gan toka mtu apate maambukizi anakuwa tayari anauwezo wa kuambukiza wengine?
 
Akipata Leo mkafanya Leo au kesho utaambukizwa tu.Nasemea kwenye kipimo haiwez onyesha kaukwaa labda baada ya 3 months
 
Akipata Leo mkafanya Leo au kesho utaambukizwa tu.Nasemea kwenye kipimo haiwez onyesha kaukwaa labda baada ya 3 months
Sasa ndan ya hio miezi 3 ndio watu huwa wanaambukizana bila kujua.
Kinga nikuwa waaminifu tu bas
 
Back
Top Bottom