Matumizi ya kondomu na maudhi yake

Mzingo

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,104
2,000
Watu wawe wanapimana HIV kila wiki. Yaani kila Jumapili mnapima ngoma.

1)Kabla hamjaona au kuwa pamoja mnapima

2)Mkishakuwa pamoja ni kila wiki mnapima. Ili mtembelee rimu kwa uhuru. Mtu akiuza mechi huko nje ni kivyake.

3)Hii habari ya kupima kabla ya kuwa pamoja halafu ndio basi eti labda mtu akipata ujauzito imepelekea maambukizi mengi kwa wanandoa.

4) maambukizi mengi hufahamika Mara nyingi mke/mpenzi akienda clinic kwa akipata ujauzito ndio inafahamika kuwa ni positive. TOO LATE.
 

Dolla_Mbili

JF-Expert Member
May 28, 2017
572
1,000
Katika vitu vinanipa wakati mgumu sana ni ndomu aisee, maana naweza kukesha mzigoni bila kushuka kabisa, nakua si-feel kitu kama kilivyo nikitumiaga ndomu ani
 

Mwalim19

Senior Member
May 4, 2020
189
250
Katika vitu vinanipa wakati mgumu sana ni ndomu aisee, maana naweza kukesha mzigoni bila kushuka kabisa, nakua si-feel kitu kama kilivyo nikitumiaga ndomu ani
sometimes ni aina tu ya wanawake unaokutana nao. Amini mzee kuna wadada wapoje sijui hadi leo sielew yani mwendo ni uleule nivae au nisivae ndomu, wewe fanya uchunguzi I mean kama naenda dk 20 bila ndom hata nikivaa sizidish
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom