Matumizi ya internet Download manager | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matumizi ya internet Download manager

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by koo, Jun 21, 2012.

 1. koo

  koo JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Heshima kwanza.
  Naomba kuelekezwa namna ya kutumia hizi download manager pia naomba kufahamu zinatofauti gani kati ya hizi za bure na zile za kununua niliwahi kudownload moja ya bure lakini ikanishinda kutumia je nikwamba ukikomand download kwenye net yenyewe itawajibika au mpaka uopt kudownload kwa idm? naomba kuelimishwa
   
 2. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  download manager nyingi huwa zina integrate na browsers automatically, na kama haija integrate nenda kwenye settings (soma help yake for more info on how to do it) halafu weka iwe ina capture downloads za hiyo browser unayotumia. Ubora inategemeana kuna zingine ni free version halafu zina features zote e.g. FDM & orbit downloader na zingine ni free ila zinakuwa na limitations i.e few connections e.g. DAP Free & DAM Free wakati ukinunua unapata all features. Nina recommend utafute IDM hii ni simple kutumia halafu ipo faster, ukidownload watakupa 30 days trial. Ila unaweza search google for cracked one na ukatumia free.
  NOTE: Hakikisha una latest version maana old version inaweza isifanye kazi kwenye na new browser.
   
 3. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  je kuna trick yoyote ya kulifungua file la movie lililo downloadiwa na IDM ikiwa halikumaliza ku download 100% mwenye kujua atujuze
   
 4. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Inawezekana kidogo maana idm huwa ina segment file hivyo ukifungua itacheza kale kapart tu ulikochagua or kama unataka uwe unaplay hilo file fresh badilisha settings za IDM pale kwenye number of connections weka 1 ila time ya kudownload itakuwa kubwa. To do it type hii location kwenye run itakupeleka moja kwa moja C:\Users\(The Name Of Your User )\Application Data\IDM\DwnlData
  \(The Name Of Your User) kufungua hilo file li drag kwenye media e.g vlc.
   
 5. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  thanks mkuu nimekupata
   
 6. talentboy

  talentboy JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 1,625
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  dah!mkuu hebu tufahamishe ni jinsi gani utaweza kuijua hiyo idm ambayo imekuwa cracked,coz si wengine hizo 30 days trials zimeshakata,na bado nlikuwa nna haja nayo sana.na ningependa kufahamu hiyo ambayo ipo cracked utaitumia for life au kuna certain limit!help me please
   
 7. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
 8. koo

  koo JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
Loading...