Matumizi ya Headphones!!

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
4,444
Reaction score
2,703
kwa wale wanopenda starehe kielektroniki na hasa wengi wao wakiwa wale vijana wetu almaarufu kama 'wadau wa Division Zero' mnajua itakavyokuwa miaka mitatu ijayo!?
Angalieni wenyewe
 
kwa wale wanopenda starehe kielektroniki na hasa wengi wao wakiwa wale vijana wetu almaarufu kama 'wadau wa Division Zero' mnajua itakavyokuwa miaka mitatu ijayo!?
Angalieni wenyeweView attachment 87644

Yani mitihani itakua ni ya kuchana tu mistari......kwa nini mtu usisome kwa bidii.....yani ni sawa na kulaza miguu kwenye ndoo ya maji huku unasoma..!! Kidijitaliii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…