Mi ex wangu nimempa mbwinu ya kunitumia text, picha, nk jamiiforums kwenye pm, bas wife akitaka kunichunguza akifungua tu asome text anakutana na mada za rikboy tundakimasihara anaishia hapohapo na kuniambia mmewangu mnafaidi na mm niunganishe na mwambia kujiunga jf laki mbili na kila mwez laki mana ni mtandao wa maboss, madon maskin hatumii jf kutokana na gharama bas wife anatulia nachukua simu yangu naendelea chati na mchepuko