Kwene mahindi unapiga yakiwa madogo hadi katika levo ya maji ya ugoko hapo utakuta hata magugu yake bado mateke mateke .lakini yakishakuwa makubwa levo yakukaribia kutoa mbelewele nakuendelea hapo tumia tu GALAMAXSON kuna mdau hapo juu amesema LAUNDAP kwamimi naona laundap sio nzuri katika palizi kwakuwa inaenda hadi kwene mizizi kwahiyo inaweza kuua hadi mmea