Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,559
- 45,879
- Thread starter
- #21
nayo wanapaka kwenye nywele?Ngozi
nayo wanapaka kwenye nywele?Ngozi
Hizo wanapaka kwenye ngozi iwe laini unakuwa soft kweli lakini ukipata ajali huwezi kushoneka.nayo wanapaka kwenye nywele?
baada ya kukiona chamoto kitachofuatia ni kifobora ufe cha moto utakiona
Mungu atuepushe,,ila people are desparate jamani,nywele mbona inakua tuu taratibu bila usumbufu?Hizo wanapaka kwenye ngozi iwe laini unakuwa soft kweli lakini ukipata ajali huwezi kushoneka.
me hizo dawa za mleta mada tu baasiMimi hilo pozi tu baaaasi!
Kuna MTU kule Facebook huwa anatangaza sana mafuta ya kukuza nywele zinarefuka za mhindi hazifui dafu sasa huwa najiuliza ni kweli au changa la macho tuMungu atuepushe,,ila people are desparate jamani,nywele mbona inakua tuu taratibu bila usumbufu?
ushawai kumuona mke wa mkubwa fela? kama anapukutika vile hadi unaona aibuHizo wanapaka kwenye ngozi iwe laini unakuwa soft kweli lakini ukipata ajali huwezi kushoneka.
mimi wapite kushoto kule,nywele inakuzwa na diet na mafuta asili mfano ya mnyonyo ama ya naziKuna MTU kule Facebook huwa anatangaza sana mafuta ya kukuza nywele zinarefuka za mhindi hazifui dafu sasa huwa najiuliza ni kweli au changa la macho tu
Huyu mke wa fela unaweza nadhan sio mtu jamanushawai kumuona mke wa mkubwa fela? kama anapukutika vile hadi unaona aibu
Kapicha bas na sie tumuoneHuyu mke wa fela unaweza nadhan sio mtu jaman
Subhanah!Huyu mke wa fela unaweza nadhan sio mtu jaman
Kapicha bas na sie tumuone
kazi ipo duh
Kapicha bas na sie tumuone
Mmmmhh naona uso haufanani na mikono kabisaa wanawake sie