kama uko bongo Zaidi ya umri ni kuwa Barabara zetu sio Rafiki kwa huo mwendo hata kidogoHapana sijawahi. Umri umeenda ujasiri sina tena.
kabisaSuicide
it doesnt work below 60kmpKwa bongo labda u-set 50km/h zaidi ya hapo ni tafrani na matrafiki!!
Kwenye magari yetu ya kijapani hii cruise ipo kweli?
Ndio maana nimeshangaa kuona hiyo kitu aisee kwa haya magari yetu ya kijapan tunakosa vitu vingi kumbeIpo lkn sio kwny haya magari yetu ya Verossa,cresta,carina,grande mark 2,brevis etc.
Shukran mkuu
Ndio maana nimeshangaa kuona hiyo kitu aisee kwa haya magari yetu ya kijapan tunakosa vitu vingi kumbe
ulivyoshukuru haraka haraka utafikiri hio cruise control inapatikana kwenye Raum yako.