Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 70
Kwa kweli kuna swala linaumiza kichwa sana nimejaribu kuuliza baadhi ya watu,wanaume na wanawake na ningependa tujadili na hapa.
Kwa sasa watu wengi hawapendi kutumia condoms katika mapenzi je ni kuaminiana kupita kiasi au ni vipimo vya macho.
Unakuta watu wanakutana mara ya kwanza wanaanza kutumia condom bao la kwanza tu yanayofuata huko mbele ni kavu.
Sio mwanamke sio mwanaume ambaye atakemea hili hasa wakiwa wamelewa ndio kabisa.Je ni kujichokea kwa maisha hivyo mtu kujitoa muhanga au ni utamu tu.
Nini kinamfanya mtu kumwamini mwenzake kwa haraka hivyo. Au watu walio ndani ya ndoa wanaaminika sana.
Vipi wale wasio ndani ya ndoa na wanaanza mapenzi kwa gia za kuona.