Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Hongera, lets hope na yeye hana mwengine zaidi yakoFemale but nina mchumba mmoja tu sina zaid yake...kupima afya muhimu mno baina ya watu wanaotarajia kuoana..
Hongera, lets hope na yeye hana mwengine zaidi yakoFemale but nina mchumba mmoja tu sina zaid yake...kupima afya muhimu mno baina ya watu wanaotarajia kuoana..
Hongera, lets hope na yeye hana mwengine zaidi yako
umeonaeeUtamu wote unaishia kwenye ndom
Atayekushauri, akifa, ataenda motoni
Natumia tu lakini hazina ladha bora hata punyeto tu
Natumia tu lakini hazina ladha bora hata punyeto tu
Tulia kwenye Ndoa yako acha kuhangaika.
Umeongea jambo la mbolea sana.....Kampime kisha kaa miezi mitatu umpime tena kisha halalisha kama small house ili uwe unajipigia DRY/KUUZA MECHI/KUJIVIKA MABOVU/KUJITOA MUHANGA/KUJILIPUA
Hapa umemaliza kila kitu mkuu.Baki njia kuu ewe mzinzi
Unajua mara nyingi watu tunachukulia ushauri tofauti sana. Wewe umekuja hapa kutangaza kwamba umeamua kuwa mzinzi, mtu kukushauri uache uzinzi haina maana yeye ni malaika kwa sababu kujua jema na baya haitegemei usafi wa mtu. Hata majambazi wanajua wanachofanya sio sawa na inawezekana kabisa ukimwambia jambazi kwamba una mpango was kuwa jambazi, unaweza kushangaa akakushauri uachane na huo mpango.acha unafiki hakuna aliye msafi kwenye hii kitu
Dogo subiri uoe ndo utaelewaMimi nilijua ni wanawake tu ndio hawazipe di
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baki njia kuu ewe mzinzi
Hayo maneno yanamaanisha kula mzigo bila ndomu ukiachilia HIV kuna Mimba isiyotarajiwa,Hepatitis B,Gono,Kaswende,UTI and other STD unaweza/anaweza kupata endapo AKIUZA MECHI.Dah... mkuu sasa mbona umeanza ushauri wako vizuri ila unamalizia na hayo maneno yasiyotia faraja ya herufi kubwa...?