Matumizi ya condom na HIV

Matumizi ya condom na HIV

kadovela

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2016
Posts
471
Reaction score
679
Inasemekana matumizi sahihi ya condom yanapunguza uwezekano wa maambukizi ya UKIMWI. Hoja yangu inajikita zaidi kwenye matumizi ya condom yanavyoweza kuathiri baadhi ya watu wakati wa kujamiana na kupelekea kuwa katika hatari mara dufu ya kupata maambukizi ya HIV.

Wapo baadhi ya wanaume wakivaa condom inapelekea kuchelewa sana kupiga bao, kitu kinachosababisha kubadili condom mara kwa mara kwani huwa baada ya muda mafuta hukauka, pia inaweza pelekea lawama kutoka kwa mwenzi wake kwamba anachelewa sana.

Kinachoweza tokea mwingine anaweza amua kwenda kavukavu katika wakati ambao uke nao pia umekauka kwahiyo hatari ya kuwa na michubuko inakuwa kubwa kiasi cha kuweza kuambukizana HIV.

SULUHISHO: Kwanza ili tatizo si kwa wanaume wote ila kwa wenye ili tatizo ni vema kujua afya yako na mwenzio na muwe na uaminifu, pili muandae mwenzio vyema ili asiwe mkavu sana, kwa suala la mimba ni vyema kuzifahamu siku za hatari japo zaweza badilika kinyume na hapo hakikisha hauachi condom hata kama inakukera wewe na mwenzi.
 
Hivi ukipigana denda na mwenye ngoma unaweza pata ngoma kweli?
Maana mmmh sielewi.
 
Ukinyonywa duduuu na mwenye ngoma unaweza pata Ukimwi ukizingati time unasex (original sex) unavaa Condom?
 
Kinachoweza tokea mwingine anaweza amua kwenda kavukavu katika wakati ambao uke nao pia umekauka kwahiyo hatari ya kuwa na michubuko inakuwa kubwa kiasi cha kuweza kuambukizana HIV.
Hapo hamna tena matumizi ya condom. Ukipata ukimwi ni kwasababu hujaitumia.
 
Ukinyonywa duduuu na mwenye ngoma unaweza pata Ukimwi ukizingati time unasex (original sex) unavaa Condom?
Sio lazima kila ukikutana na mwenye UKIMWI na wewe utapata. Ni mpaka kuwe na michubuko.
 
utakuta mjomba chunvini anazama halafu anavaa kondom tena

hii ni akili au matope?
 
utakuta mjomba chunvini anazama halafu anavaa kondom tena

hii ni akili au matope?
hahahaha watu ni wajinga sana eti anazama chumvini ananyonya hadi mkundu afu eti anavaa ndom huu ni ujinga wa kiwango cha phd
 
Back
Top Bottom