Kiminyio 01 JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 1,399 Reaction score 2,040 Jun 20, 2019 #1 Wakuu habarini,je naweza kutumia Antivirus mbili katika laptop Moja?
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,900 Reaction score 9,821 Jun 20, 2019 #2 Una tafuta matatizo, tena usije jaribu kuweka anti-virus like avast alafu uchanganye na nyingine... Nikama kunywa oroder na mseto kwa pamoja!
Una tafuta matatizo, tena usije jaribu kuweka anti-virus like avast alafu uchanganye na nyingine... Nikama kunywa oroder na mseto kwa pamoja!
Kiminyio 01 JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 1,399 Reaction score 2,040 Jun 20, 2019 Thread starter #3 Joselela said: Una tafuta matatizo, tena usije jaribu kuweka anti-virus like avast alafu uchanganye na nyingine... Nikama kunywa oroder na mseto kwa pamoja! Click to expand... Sawa Mkuu
Joselela said: Una tafuta matatizo, tena usije jaribu kuweka anti-virus like avast alafu uchanganye na nyingine... Nikama kunywa oroder na mseto kwa pamoja! Click to expand... Sawa Mkuu
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,417 Jun 20, 2019 #4 Huwa siku zote ant virus zinaona ant virus wenzie kama virus hivyo zitadakana tu zenyewe humo. Ila unaweza eka Ant virus sambamba na Ant malware kama malware bytes.
Huwa siku zote ant virus zinaona ant virus wenzie kama virus hivyo zitadakana tu zenyewe humo. Ila unaweza eka Ant virus sambamba na Ant malware kama malware bytes.
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,834 Reaction score 40,649 Jun 20, 2019 #5 Pc itakuwa nzito balaa.
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,422 Jun 20, 2019 #6 Alawido said: Wakuu habarini,je naweza kutumia Antivirus mbili katika laptop Moja? Click to expand... ni sawa ubalozi wa marekani useme kuna hatari alafu kangi lugola haseme hakuna hatari,wote wapo kiulinzi
Alawido said: Wakuu habarini,je naweza kutumia Antivirus mbili katika laptop Moja? Click to expand... ni sawa ubalozi wa marekani useme kuna hatari alafu kangi lugola haseme hakuna hatari,wote wapo kiulinzi
Mudhyd JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 492 Reaction score 507 Jun 20, 2019 #7 Alawido said: Wakuu habarini,je naweza kutumia Antivirus mbili katika laptop Moja? Click to expand... Antivirus mbili za nini, cha zaidi utaongeza tu uzito wa PC!
Alawido said: Wakuu habarini,je naweza kutumia Antivirus mbili katika laptop Moja? Click to expand... Antivirus mbili za nini, cha zaidi utaongeza tu uzito wa PC!