tumia pesa ikuzoee............na ukipata tuuumia,ukikosa jutia.
Matumizi mazuri ya pesa mara nyingi anayafahamu anayetumia pesa zake. Kwa mfano binafsi nakwenda kazini ili pamoja na mambo mengine nisikose pesa ya Bia, sasa huwa inanikwaza pale anapojitokeza Usaadhi/Mlokole mmoja ananiambia kunywa pombe ni matumizi mabaya ya pesa.Hamjambo wajamvi na Idd mubaarac! Tafadhali naomba nijuze matumizi mazuri ya pesa .Maana imenitokoe mie naambiwa nina matumizi mabaya ya pesa mie silewi wala kuhonga hiyo pesa nimetumia kwenda kuwachukua wanagu shuleni kwa kukudi gari ndogo kwenda mapaka shueni na kurudi home .Je hayo ni matumizi mabaya ya pesa na matumizi ya pesa ili yawe mazuri yatumikeje?
hapana ni kipanda uso cha ka cha mh. mbunge.avatar yako inakizunguzungu
matumizi mazuri ya pesa mara nyingi anayafahamu anayetumia pesa zake. Kwa mfano binafsi nakwenda kazini ili pamoja na mambo mengine nisikose pesa ya bia, sasa huwa inanikwaza pale anapojitokeza usaadhi/mlokole mmoja ananiambia kunywa pombe ni matumizi mabaya ya pesa.
Pesa za nape unakunywia pombe c.c.m watakufunga.Wakuu, muda huu nipo Rose Garden nakata pombe kwa kwenda mbele. Mwenye dawa ya kuacha starehe tafadhali anijulishe.
Kula pesa acha roho tafuta zingine.Hamjambo wajamvi na Idd mubaarac! Tafadhali naomba nijuze matumizi mazuri ya pesa .Maana imenitokoe mie naambiwa nina matumizi mabaya ya pesa mie silewi wala kuhonga hiyo pesa nimetumia kwenda kuwachukua wanagu shuleni kwa kukudi gari ndogo kwenda mapaka shueni na kurudi home .Je hayo ni matumizi mabaya ya pesa na matumizi ya pesa ili yawe mazuri yatumikeje?
120,000?=
Matumizi mazuri ya pesa ni pale unapokidhi MAHITAJI yako badala ya MATAKWA yako...unapofanya mambo kwa kuzingatia kiasi ulichonacho.
Kama una sh. 50000 ...hujalipa kodi alafu unachukua taxi kutoka kazini mpaka steers kula burger na kuangalia movie mlimani city basi unakua umetumia pesa yako vibaya kwa kua hujazingatia mahitaji yale ambayo ni muhimu zaidi....
Kwahiyo inawezekana mna mambo mengine ambayo yangehitaji hiyi pesa zaidi ya kukodia gari wakati mngechukua basi bado mngefika.