Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Serikali inaanzaje kuchukua eneo kwa ajili ya uwekezaji binafsi?tafteni eneo lingine la kujenga hiyo shule ya medium
Kuna watu wanataka kutumia mgongo wa serikali kuchukua eneo lako wafanye uwekezaji wao wameona liko marketable
Pambana usiwalazie damu hao