Matumbo huwauma baada ya sex

Matumbo huwauma baada ya sex

Unko T

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
200
Reaction score
266
Mamboz!!
Nimekuwa napata sana shida ya kuwa na mahusiano ya muda mrefu kwani wanawake hasa wale ninao "fall in love" hulalamika sana matumbo kuwauma muda kidogo baada ya kumaliza kugegedana.
Kikawaida ninapenda ngono kuliko hata ugali.
Kuna muda mizuka imepanda, nazamisha muwa paap, mara bi shost anarudi yuma au ananizuia kwa kunisukuma kiunoni...aaaagggghhhhhhh inakata stimu yote. Inanibidi niwe nawalaza kifudifudi ili muwa usizame wote.
Natamani sana kuwa na mahusiano ya kudumu ila hii kitu ya matumbo kuuma inanikosesha amani sana.
Nimejifunza mikao tofauti tofauti kamasutra, ila bado hii hali inatokea mpaka nahisi nina kasoro mahali. Nimekosa zaidi ya wanawake sita kwa hii kitu.
 
Vaa pete uache kusumbua watu washaanza starehe zao. Ukikosa pete zinakopatikana neda kwa mafundi welding waoneshe saizi yako wakupime utaondokana na tatizo la kukimbiwa.
 
Vaa pete uache kusumbua watu washaanza starehe zao. Ukikosa pete zinakopatikana neda kwa mafundi welding waoneshe saizi yako wakupime utaondokana na tatizo la kukimbiwa.
Ii ishu ya pete ni vip naskia skia sana kwamba wenye fimbo kubwa wengi wanapete
 
Unagusa mlango wa kizazi,mruhusu yeye aje ju ili yeye ajipimie kufuatana na kina alichonacho
 
Mwanaume kusikia raha siyo lazima uzamishe yote. Una pima kina kwanza akisema hapo hapo unaishia. Nchi 4 ndani zinatosha sana. Ukipata wa nchi 6 unaweka n.k. Una adjust kadri ya mtu uliyenaye. Sasa naona wewe umekariri kwamba lazima uzamishe yote.
 
Back
Top Bottom