Matumaini ya Lowassa njia panda

Hafai na wala hastahili kuwa gumzo, kumpongeza huyo mzee ni kutojitambua.Katika utumishi wake zaidi ya miaka 20 muulizeni kawafanyia nini vijana hata wachache wa jimboni kwake.
 
Mzee amekuwa na skendo kibao ambazo yeye mwenyewe kashindwa kujitokeza kukana afu bado mnamtetea, poleni sana
 
hata usihangaike...signature imejitosheleza...

“The illiterate of the 21st century will not be those who cannot read and write, but those who cannot learn, unlearn, and relearn.” ~ Alvin Toffler
 
Sasa hapo ndo watanzania tujiulize kama kweli hawa watu wana nia ya kuleta maendeleo na mabadiliko anayohubiri. Amekua mbunge kwa miaka 30, ila cha ajabu wamamsai ndi watu wenye elimu duni, wengi ni walinzi hata makazi yao ni duni. Sasa kama alishindwa kuwajengea ndugu zake nyumba, kutafutia ajira kwa kuanzisha viwanda, kuwapatia elimu, kweli leo tunamuamini mtu kama huyu kweli kwamba atatuletea mabadiliko? We guys we have to stretch our mind na tufikirie nje ya box. Tuache ushabiki wa kilipoteza taifa ila tufikiri ili kulikoa taifa.

Watu wengine shida yao waitwe Rais basi ila sio kutatua matatizo yetu . Tafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…