Elle Kisinga
Member
- Jan 13, 2013
- 64
- 6
Watu wanabomolewa makazi yao wengine wanaambiwa wasibomolewe! Nchi ni moja rais ni mmoja, Dola inawatawala wanasiasa mpaka wananchi...sasa hata mbwa ambaye siyo binadamu anauwawa[emoji88]
Watanzania tunaenda wapi???
Ila [HASHTAG]#Mungu[/HASHTAG] atawalipa kwa hili.