Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,585
- 14,366
Haaaaa.... Eti haya ya kweli mzee mwenzangu [emoji23][emoji23]Kaka Tuchati
Halafu umesahau moja la jamaa fulan alizinguana na manzi mmoja mpaka wakafikia hatua ya kuanikana humu kwa picha baadae mods wakaiondoa mapema sana