TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 217
Mbona hamueleweki.
Wakuu mmeangalia hii video?sasa mbona hatuyaoni hayo matukio,ndio maana mnawapa ant-tecnos cha kuongea,mpo kienyeji enyeji sana,badilikeni,ndoroboooo nyie
Wakuu mmeangalia hii video?
Tecno wanavituko nao eti wanajitangaza sasa hata video aploading hawawezi hawa ndorobo kweli kwelihizo video umejiwekea uangalie mwenyewe au,huoni hakuna hata mtu mmoja anayekuambia kuwa ameziona,ngoja tecno haters waje wapate cha kuongea,yaani official page ya tecno mnashindwa ku-upload video,mnatupa vilink uchwara tu,hamuoni kama mnaishushia heshima kampuni yenu?
Wakuu mmeangalia hii video?
hizo video umejiwekea uangalie mwenyewe au,huoni hakuna hata mtu mmoja anayekuambia kuwa ameziona,ngoja tecno haters waje wapate cha kuongea,yaani official page ya tecno mnashindwa ku-upload video,mnatupa vilink uchwara tu,hamuoni kama mnaishushia heshima kampuni yenu?
Tecno haina hadhi ya kutangazwa Hapa ikiwa tu kuapload video mmeshindwa mnatafuta nini hapa
Tecno wanavituko nao eti wanajitangaza sasa hata video aploading hawawezi hawa ndorobo kweli kweli
Nyie kweli tecno
Hebu angalia kwnza had tuambie
Aina ya Tecno hata nikiiiokota naitupa