Matukio ya uhalifu mkoa wa Simiyu

Mar 7, 2020
2
0
Kuna tukio mkoa wangu wa Simiyu lilitokea takriban mwezi sasa, tukio hili ni la uvamizi na uporaji, ndg zetu wawekezaji wenye asili ya China walivamiwa.

Jeshi la polisi lilibahatika kuwatia nguvuni baadhi ya wahalifu na mmoja kati ya wahalifu hao ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM mkoa fulani, lakini kuna wengine vigogo bado hawajakamatwa, tena ni WANEC MKOA WA SMY

Kwanini hao WANEC watumie cheo hicho kama mwanvuli?
 
Kuna tukio mkoa wangu wa Simiyu lilitokea takeibani mwezi sasa, tukio hili ni la uvamizi na uporaji, ndg zetu wawekezaji wenye asili ya China walivamiwa.

Jeshi la police lilibahatika kuwatia nguvuni baadhi ya wahalifu na mmoja kati ya wahalifu Hao ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM mkoa fulani, lakini Kuna wengine vigogo bado hawajakamatwa, tena ni WANEC MKOA WA SMY.

Kwa nini Hao WANEC watumie cheo hicho kama mwanvuli?
 
Wataje hao WANEC hapa, wachina walikuwa wamewekeza kwenye nini au simulia kisa hicho
 
Mleta mada ni jamii ya watu waoga na wambea hawezi kuweka taarifa wazi na pia hawezi kubaki nayo anapoteza muda wa wasomaji.
 
Back
Top Bottom