Umeshasahau kuwa tulimchagua mkapora ushindi wake?Kuna jambo nimeliona kuhusu fisadi Lowasa kila Raisi Magufuli afanyapo jambo kama ni kuhutubia au jambo lolote lile ambalo linaifanya nchi ijadili kesho yake fisadi Lowasa lazima atasema kitu na kuandikwa kwenye gazeti kwenye ukurasa mmoja na Raisi wa nchi, sasa Je hii inatokea tu au ni jambo ambalo limepangwa?
Nitatoa mfano siku zote Lowasa alikuwa kimya siku Raisi amehutubia Mahakama na kufanya nchi nzima ijadili Hotuba yake na yeye (Lowasa) akakutana wanaoitwa wazee wa chadema akaita waandishi wa Habari na kuwekwa ukurasa mmoja na Habari za Raisi, kama hili halikutosha jana Raisi kasafiri kwenda Dodoma kasimama Moro kuhutubia Wananchi ina maana vyombo vya Habari leo hii vimejaa Habari za Raisi Lowasa naye kaita Wahandishi wa Habari anaweka sababu zilizomuondoa CCM ambazo kila Mtz wa akili ya wastani anajua sababu alizotoa ni za Uongo kwani kila mtu anajua kwamba aliondoka CCM baada ya CCM kumkataa kwenye Uongozi!
Sasa hii timing yote ya Lowasa naweza kusema ni ktkt kutapatapa kujaribu kubakia relevant lkn atafanya hivyo mpaka lini?
Nafikiri Lowasa kuna jambo alipaswa kulielewa nalo ni hili kuna Watz hawamkubali hata afanye nini ambao ndio wengi na kuna WatanZania wachache wake ambao wanamkubali hata afanye nini na hilo halibadiliki hata afanye nini hivyo ni bora arelax tu na kusubiri 2020, kwani wengi waliomkataa wamemkataa moyoni na wachache waliomkubali wamemkubali moyoni hivyo hamna haja kutumia nguvu kujaribu kubadilisha chochote kile!
we wasemaMzee naona kapewa chama chake. Maana siku hizi anajitokeza tu kuongea kama mwenyekiti wa chama.
Aangalie sana kama hakumalizana na Mbowe kimaandishi atatimuliwa. Maana anamfunika Mbowe.
Mkuu hayo ni mawazo na mtazamo wako...jarbu kufkilia upande wa wanaoandka habar hzo magazetini..wakwambie kwann wanafanya hvyo...Uctoe htimisho kwa uchunguz mwepes nenda kiundani zaidi.Kuna jambo nimeliona kuhusu fisadi Lowasa kila Raisi Magufuli afanyapo jambo kama ni kuhutubia au jambo lolote lile ambalo linaifanya nchi ijadili kesho yake fisadi Lowasa lazima atasema kitu na kuandikwa kwenye gazeti kwenye ukurasa mmoja na Raisi wa nchi, sasa Je hii inatokea tu au ni jambo ambalo limepangwa?
Nitatoa mfano siku zote Lowasa alikuwa kimya siku Raisi amehutubia Mahakama na kufanya nchi nzima ijadili Hotuba yake na yeye (Lowasa) akakutana wanaoitwa wazee wa chadema akaita waandishi wa Habari na kuwekwa ukurasa mmoja na Habari za Raisi, kama hili halikutosha jana Raisi kasafiri kwenda Dodoma kasimama Moro kuhutubia Wananchi ina maana vyombo vya Habari leo hii vimejaa Habari za Raisi Lowasa naye kaita Wahandishi wa Habari anaweka sababu zilizomuondoa CCM ambazo kila Mtz wa akili ya wastani anajua sababu alizotoa ni za Uongo kwani kila mtu anajua kwamba aliondoka CCM baada ya CCM kumkataa kwenye Uongozi!
Sasa hii timing yote ya Lowasa naweza kusema ni ktkt kutapatapa kujaribu kubakia relevant lkn atafanya hivyo mpaka lini?
Nafikiri Lowasa kuna jambo alipaswa kulielewa nalo ni hili kuna Watz hawamkubali hata afanye nini ambao ndio wengi na kuna WatanZania wachache wake ambao wanamkubali hata afanye nini na hilo halibadiliki hata afanye nini hivyo ni bora arelax tu na kusubiri 2020, kwani wengi waliomkataa wamemkataa moyoni na wachache waliomkubali wamemkubali moyoni hivyo hamna haja kutumia nguvu kujaribu kubadilisha chochote kile!
Kuna jambo nimeliona kuhusu fisadi Lowasa kila Raisi Magufuli afanyapo jambo kama ni kuhutubia au jambo lolote lile ambalo linaifanya nchi ijadili kesho yake fisadi Lowasa lazima atasema kitu na kuandikwa kwenye gazeti kwenye ukurasa mmoja na Raisi wa nchi, sasa Je hii inatokea tu au ni jambo ambalo limepangwa?

rethink critically.Kuna jambo nimeliona kuhusu fisadi Lowasa kila Raisi Magufuli afanyapo jambo kama ni kuhutubia au jambo lolote lile ambalo linaifanya nchi ijadili kesho yake fisadi Lowasa lazima atasema kitu na kuandikwa kwenye gazeti kwenye ukurasa mmoja na Raisi wa nchi, sasa Je hii inatokea tu au ni jambo ambalo limepangwa?
Nitatoa mfano siku zote Lowasa alikuwa kimya siku Raisi amehutubia Mahakama na kufanya nchi nzima ijadili Hotuba yake na yeye (Lowasa) akakutana wanaoitwa wazee wa chadema akaita waandishi wa Habari na kuwekwa ukurasa mmoja na Habari za Raisi, kama hili halikutosha jana Raisi kasafiri kwenda Dodoma kasimama Moro kuhutubia Wananchi ina maana vyombo vya Habari leo hii vimejaa Habari za Raisi Lowasa naye kaita Wahandishi wa Habari anaweka sababu zilizomuondoa CCM ambazo kila Mtz wa akili ya wastani anajua sababu alizotoa ni za Uongo kwani kila mtu anajua kwamba aliondoka CCM baada ya CCM kumkataa kwenye Uongozi!
Sasa hii timing yote ya Lowasa naweza kusema ni ktkt kutapatapa kujaribu kubakia relevant lkn atafanya hivyo mpaka lini?
Nafikiri Lowasa kuna jambo alipaswa kulielewa nalo ni hili kuna Watz hawamkubali hata afanye nini ambao ndio wengi na kuna WatanZania wachache wake ambao wanamkubali hata afanye nini na hilo halibadiliki hata afanye nini hivyo ni bora arelax tu na kusubiri 2020, kwani wengi waliomkataa wamemkataa moyoni na wachache waliomkubali wamemkubali moyoni hivyo hamna haja kutumia nguvu kujaribu kubadilisha chochote kile!
eti mama ongea na mwanaoEneo lile lile alilosimama Lowassa sikuchache zimepita, tena hapo hapo Magu kenda simama sasa hapo anomuiga mwenzie nani???
Mtoa mada hilo hajalionaEneo lile lile alilosimama Lowassa sikuchache zimepita, tena hapo hapo Magu kenda simama sasa hapo anomuiga mwenzie nani???
Kuna jambo nimeliona kuhusu fisadi Lowasa kila Raisi Magufuli afanyapo jambo kama ni kuhutubia au jambo lolote lile ambalo linaifanya nchi ijadili kesho yake fisadi Lowasa lazima atasema kitu na kuandikwa kwenye gazeti kwenye ukurasa mmoja na Raisi wa nchi, sasa Je hii inatokea tu au ni jambo ambalo limepangwa?
Nitatoa mfano siku zote Lowasa alikuwa kimya siku Raisi amehutubia Mahakama na kufanya nchi nzima ijadili Hotuba yake na yeye (Lowasa) akakutana wanaoitwa wazee wa chadema akaita waandishi wa Habari na kuwekwa ukurasa mmoja na Habari za Raisi, kama hili halikutosha jana Raisi kasafiri kwenda Dodoma kasimama Moro kuhutubia Wananchi ina maana vyombo vya Habari leo hii vimejaa Habari za Raisi Lowasa naye kaita Wahandishi wa Habari anaweka sababu zilizomuondoa CCM ambazo kila Mtz wa akili ya wastani anajua sababu alizotoa ni za Uongo kwani kila mtu anajua kwamba aliondoka CCM baada ya CCM kumkataa kwenye Uongozi!
Sasa hii timing yote ya Lowasa naweza kusema ni ktkt kutapatapa kujaribu kubakia relevant lkn atafanya hivyo mpaka lini?
Nafikiri Lowasa kuna jambo alipaswa kulielewa nalo ni hili kuna Watz hawamkubali hata afanye nini ambao ndio wengi na kuna WatanZania wachache wake ambao wanamkubali hata afanye nini na hilo halibadiliki hata afanye nini hivyo ni bora arelax tu na kusubiri 2020, kwani wengi waliomkataa wamemkataa moyoni na wachache waliomkubali wamemkubali moyoni hivyo hamna haja kutumia nguvu kujaribu kubadilisha chochote kile!
Mleta mada uko sahihi kabisa. Lowassa bado yuko kwenye campaign, na magazeti ya Mwananchi pamoja na Nipashe nayo bado yako kwenye payroll yake.
Eneo lile lile alilosimama Lowassa sikuchache zimepita, tena hapo hapo Magu kenda simama sasa hapo anomuiga mwenzie nani???
Mkuu hayo ni mawazo na mtazamo wako...jarbu kufkilia upande wa wanaoandka habar hzo magazetini..wakwambie kwann wanafanya hvyo...Uctoe htimisho kwa uchunguz mwepes nenda kiundani zaidi.
Umeshasahau kuwa tulimchagua mkapora ushindi wake?
Watu milioni Saba waliompigia kura Lowassa ni wachache na wale milioni nane waliompigia kura Magufuli ni wengi, hapa ndio ukichaa wako ulipo...
Kwa hiyo Magufuli amekutuma kulalamika kuwa anashindwa kupumua kwenye vyombo vya habari anataka apate headlines peke yake? Kumbe ndio maana hataki hata wabunge waonekane LIVE ili awe anaonekana peke yake? Sasa anafungia vyombo vya habari vya nini kama anataka FRONT PAGE?
Next move mtatuambia mnaondoa kikomo cha kugombea urais, dalili zote zipo