UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Tz sijui hatuna wachambuzi wa masuala ya kisiasa? sijui vyombo vya habari vya hapa tz havijitambui? sijui hawaendi na wakati? sijui waandishi wetu wa habari hawajitambui? ni ngumu kuelewa kwa kweli!
Kwa kipindi km hiki ambapo kuna matukio ya kisiasa ya kuogofya ilibidi vyombo vya habari hususan tv vijielekeze kule kwa nguvu, waandishi wa habari wapige scoup za ukweli, mijadala motomoto zingekuwa zinaendelea kwenye tv lakini wanatoa habari km clip tu then wanasepa wanasubiri hadi siku ziiendee weeeee ndio waanze kufanya mijadala!
matukio ya mtwara! afya ya mandela! matukio ya arusha! na mambo mengine ya kidunia!
tv sasa hv habari zao ni outdated maana tunakimbilia kwenye mitandao kupata updates breaking news, tv zipo hoiiiiii zipo very legelege, they are not sharp kuhabarisha! ZINDUKENI MMELALA SANA!
Angalia sasa hv asubuhi mijadala ya kwenye tv, wanahabarisha mambo ambayo ni low rated kwenye tasnia ya kuhabarisha! be sharp you guys give people what they need to hear at the time, sio kuhabarisha tu as you scheduled! make yourself expensive you tvs bhana, mmelala sanaaaaaaa!