Matukio :Show ya Diamondplutnamz nchini Ugand

Matukio :Show ya Diamondplutnamz nchini Ugand

Acha ujinga sisi hatuangalii kafanya shoo ya bila kiingilio sisi tunaangalia Mkwanja alioingiza tuu sasa mwambieni Kimba akafanye shoo nayy huko tuone
Nia yangu ilikua kufaamisha show ilikua ya bure.....mind you mie sina team za kipuuzi kama nyie.Nikomeni masikini wa mwisho nyie.....mmssttwww
Kwa hiyo ulitaka aache kupiga show kisa ya bure au vp mkuu
 
Mbona mnaweka habari robo robo.Show ilikuwa ya bure tu(free of charge) Mara mia fiesta watu wanaingia kwa kiingilio.Alafu kulikuwa na wasanii wengi sana from Ug.
NB.Hata kiba amewahi kufanya show kama hiyo kenya.Koroge festival
 
Hili jukwaa la picha sio la habari. Picha tu inakutoa povu Polee
 
Back
Top Bottom