Nguvu ya Ajabu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 546
- 451
Naombeni matokeo ya shujaa Wangu kafulila jaman maana mnaendelea kuniongezea maumivu
Kupo Tupo Wengi TULIOPATA TAABU Kwa KUMPENDA Dr. Magufuli! Pole Sana Mkuu ILA Kilio Chetu Hakika Mwenyezi Mungu Ametujibu Na Kesho Saa 10 au Saa 11 Jioni ANATANGAZWA Rasmi Kuwa Mshindi Wa Kiti Cha Urais. Tumwombee Sana Kwa Mungu Kwani Kwa Mbali Naona Kama Vile Mwenyezi Mungu AMETURUDISHIA Watanzania SOKOINE Mwingine. Huyu Jamaa ATAITENGENEZA Nchi KIMAFANIKIO Na Critics Wake Wote MTAMKUBALI.
Nikimkuta Ccm amepata ajali sintamwokoa. Kwa sababu Ccm ni wanyama.Nilifurahi sana nilipo msikia Jana lowasa: kipindi cha kampeni lowasa alisema Kazi yake ni kulinda kura tuuu sasa nashangaa mda huuu anaanza kubwabwaja eti kaibiwa kura.
kama kweli walikuwa serious na kutafuta urais ilitakiwa mda huuu wameshikilia idadi ya kura walizopata kutoka majimboni na kuoanusha na yanayotangazwa na tume ili watuaminishe lipi ni ukweli na lipi ni uongo sio wajalie kupiga kelele
Nikimkuta Ccm amepata ajali sintamwokoa. Kwa sababu Ccm ni wanyama.
Nikimkuta ccm anashida yoyote simsaidii kwa sababu ccm ni mauji.
NI afadhali kujifunza lugha ya kenge kuliko kuongea na miccm.
Mwisho.
Wapiga kura zipi mbona mnakua ka mna vinyesi vichwani.!!?Kilichowaponza CHADEMA nı siasa zenye mwelekeo wa Udini na Ukanda pamoja na kampeni za kishari zıkichagızwa na wafuası ambao wengi walijaa fujo.Hayo ndiyo yaliyowaondolea imani wapga kura.
Siyo kupanic mnaudhi sana,mimi hata ajira ukija ofisini kwangu nnikigundua wewe na ndugu zako ni CCM hupati ajira!!!naona umepanic baada ya watanzania kulikataa Fisadi lenu
naona umepanic baada ya watanzania kulikataa Fisadi lenu
Kuanzia sasa kampuni yangu sifanyi kazi na kiumb yoyot mweye affiliations na ccm. Mwende mkapate mahitaji yenu kwa kikwete, mkapa na makamba.
Nilifurahi sana nilipo msikia Jana lowasa: kipindi cha kampeni lowasa alisema Kazi yake ni kulinda kura tuuu sasa nashangaa mda huuu anaanza kubwabwaja eti kaibiwa kura.
kama kweli walikuwa serious na kutafuta urais ilitakiwa mda huuu wameshikilia idadi ya kura walizopata kutoka majimboni na kuoanusha na yanayotangazwa na tume ili watuaminishe lipi ni ukweli na lipi ni uongo sio wajalie kupiga kelele
Usipanic dada. Lowassa asingeshinda hata kura zingehesabiwa kwa uwazi wa mbingu. Msiwalaumu wa Tanzania waliochagua magufuli, mumlaumu Mbowe, Mbatia & Co. kwa ubinafsi wao wa kuforce na kubadilisha gia angani. Wengi tulikasirishwa na hilo, tukaamua kura zeru ziende kwa Magufuli.Kuanzia sasa kampuni yangu sifanyi kazi na kiumb yoyot mweye affiliations na ccm. Mwende mkapate mahitaji yenu kwa kikwete, mkapa na makamba.
Kuanzia sasa navunja undugu au urafiki na mtu yoyote aliye upande wa ccm. I so declare.
Huku zoezi za kutangaza matokeo linaendelea CDM wamekataa kukubaliana na matokeo yanayotangazwa na Lubuva na wenzake.
Wameainisha dosari kadhaa na kuitaka NEC isitishe zoezi lao na kudai kura zinazotangazwa zimechakachuliwa.
CHADEMA walisema wanayo Team kadhaa za watu wanaojumlisha matokeo yao hata baada ya kukamatwa kwa wana-IT wao sehemu tatu tofauti.
Ili kuondoa mkanganyiko na kutuweka sawa sisi wananchi tunaomba CHADEMA itupe matokeo yao kama Seif alivyofanya Zanzibar. CHADEMA watupe matokeo ya majimbo yote na jumla yao kuu, kama wameshinda tujue na kama wameshindwa pia tujue.
Kama CHADEMA hawana matokeo, hayo malalamiko hayatakuwa na nguvu baada ya Rais kutangazwa.
Siyo kupanic mnaudhi sana,mimi hata ajira ukija ofisini kwangu nnikigundua wewe na ndugu zako ni CCM hupati ajira!!!
Usiseme asingeshinda!!Usipanic dada. Lowassa asingeshinda hata kura zingehesabiwa kwa uwazi wa mbingu. Msiwalaumu wa Tanzania waliochagua magufuli, mumlaumu Mbowe, Mbatia & Co. kwa ubinafsi wao wa kuforce na kubadilisha gia angani. Wengi tulikasirishwa na hilo, tukaamua kura zeru ziende kwa Magufuli.
Poleni sana Familia ya Lowassa.
Mwenye kampuni atakuwa wewe? watu wengine bwana!
Kampuni? labda karanga kapuni