Uchaguzi 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

JamiiForums

Official Robot
Joined
Nov 9, 2006
Messages
5,291
Points
2,000

JamiiForums

Official Robot
Joined Nov 9, 2006
5,291 2,000
Wakuu,


Mada maalumu zimeandaliwa kwa ajili ya Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania. Mada hizo zimepangwa tokana na Mikoa kama ilivyoanishwa hapa chini;


1. Arusha - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962858-arusha-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

2. Dar es Salaam - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962802-dar-es-salaam-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

3. Dodoma - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962809-dodoma-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

4. Geita - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962844-geita-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

5. Iringa - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962850-iringa-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

6. Kagera - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962834-kagera-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

7. Katavi - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962819-katavi-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

8. Kilimanjaro - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962857-kilimanjaro-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

9. Lindi - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962831-lindi-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

10. Manyara -Manyara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

11. Mara - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962836-mara-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

12. Mbeya - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962848-mbeya-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

13. Morogoro - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962807-morogoro-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

14. Mwanza - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962835-mwanza-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

15. Mtwara - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962824-mtwara-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

16. Njombe - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962852-njombe-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

17. Pwani - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962803-pwani-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html

18. Ruvuma - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962821-ruvuma-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

19. Rukwa - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962851-rukwa-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

20. Singida - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962812-singida-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

21. Simuyu - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962843-simiyu-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

22. Shinyanga - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962840-shinyanga-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

23. Tabora - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962817-tabora-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

24. Tanga - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962860-tanga-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

25. Pemba - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/963001-pemba-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html

26. Unguja - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/963023-unguja-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html

27. Kigoma - Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia


Habari zaidi kuhusiana na Uchaguzi Mkuu 2015


1. Lowassa 'LIVE' ITV akiwa anapiga kura - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962978-lowassa-live-itv-akipiga-kura-monduli.html

2. Magufuli 'LIVE' Star TV akiwa anapiga kura - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/963032-dr-john-pombe-magufuli-live-star-tv-kupiga-kura-chato.html

3. Mgombea Urais TLP ashindwa kupiga kura - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/963039-mgombea-urais-tlp-ashindwa-kupiga-kura.html

4. Watanzania wakipongezana kwa kupiga kura - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962823-hongera-watanzania-kwa-kujitokeza-kwa-wingi-kupiga-kura.html

5. Maalim Seif aitaka ZEC imtangaze mshindi - Maalim Seif: Nimekusanya matokeo kutoka vituo vyote ninaongoza, aitaka ZEC imtangaze mshindi
6. Makamba Atangaza siku ya Magufuli kutangazwa Rais - Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

7. Makamba acha kutuaribia Amani - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/963263-january-makamba-acha-kutuharibia-amani-ya-tanzania-kwa-uwezo-wako-mdogo-wa-kupambanua.html

8. UKAWA kutokubali matokeo:Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC
9. Lowassa kutokubali matokeo ya urais - Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu
10. Uchaguz Zanzibar wafutwa: Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

11. VIDEO: Baadhi ya Wajumbe wa ZEC wapinga maamuzi ya Mwenyekiti wao kubatilisha Uchaguzi wa Zanzibar

12.Magufuli Rais Mteule - Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

13. Tamko za CUF kwa ZEC - Tamko: CUF yaipa ZEC siku tatu kukamilisha mchakato wa uchaguzi

14.Katibu Mkuu UN ampongeza Magufuli - Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki Moon aipongeza Tanzania kwa uchaguzi Huru na Haki

15. NEC yamkabidhi Rais Mteule cheti cha Ushindi - Yanayojiri makabidhiano ya cheti Diamond Jubilee kwa Rais mteule

16. Maalim Sief amesema anasubiri kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar Maalim Seif: Mimi ndio rais wenu

17. Balozi Seif Ali Iddi; Suala la kurudia uchaguzi halina mjadala - Suala la kurudiwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar halina mjadala!

18. NEC yatangaza viti maalum; CCM imepata viti 64, CHADEMA 36 na CUF 10 - Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

19. Regina Lowassa akataa nafasi ya viti maalum -Mke wa Lowassa autosa ubunge wa Viti Maalum CHADEMA

20. Hashim Rungwe kwenda Mahakamani kufungua mashataka ya kuibiwa kura -Hashimu Rungwe kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya nguvu ya NEC kutohojiwa au kupelekwa

21. Dkt. Magufuli na Samia Suluhu waapishwa -Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania
22. Rais Kikwete na Maalim Seif wafanya mazungumzo kuhusu Zanzibar -Rais Kikwete afanya Mazungumzo na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif - Ikulu ya Dar

23. Maalim Seif awataka wanachama CUF kuwa watulivu -Maalim Seif awataka Wazanzibar watulie, yupo katika mazungumzo na taasisi za Kimataifa

24. Zanzibar - Wanasheria wa Zanzibar wataka ZEC ifute tamko la kubatilisha uchaguzi

25. Wanasheria Zanzibar wazungumzia uchaguzi wa Zanzibar - Wanasheria waongea kuhusu kufutwa Uchaguzi Zanzibar

26. Zitto atoa ya moyoni kuhusu uchaguzi Zanzibar -Kauli ya Zitto Kabwe kuhusu mkwamo wa kisiasa Zanzibar

27. Uchaguzi Zanzibar wafutwa Rasmi - Uchaguzi Zanzibar wafutwa Rasmi

Mpaka sasa NEC imeshatangaza rasmi matokeo ya ubunge majimbo 102, CCM wamechukua majimbo 63, CHADEMA 21, CUF 16, NCCR 1 na ACT 1.

Matokeo rasmi kutoka NEC:-

Matokeo Rasmi kutoka NEC - Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015
 

pocha2

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Messages
877
Points
500

pocha2

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2014
877 500
Nawapongeza sana ITV, na EATV, huu ndo uzalendo, mnatia hamasa sana kwa watanzania, kila kitu live. Hata mtu anayeangalia kutoka Marekani anajua kinachoendelea hapa nchini. Mnasitahili pongezi za dhati kabisa.

Naungana na Mh. Mkosamali kwamba ukitaka kupata shida nchi hii deal na vitu vya serikali, TBC1 wanaonesha vipindi vya watoto kana kwamba ni siku ya kawaida.
 

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
4,858
Points
2,000

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
4,858 2,000
Nawapongeza sana ITV, na EATV, huu ndo uzalendo, mnatia hamasa sana kwa watanzania, kila kitu live. Hata mtu anayeangalia kutoka Marekani anajua kinachoendelea hapa nchini. Mnasitahili pongezi za dhati kabisa.

Naungana na Mh. Mkosamali kwamba ukitaka kupata shida nchi hii deal na vitu vya serikali, TBC1 wanaonesha vipindi vya watoto kana kwamba ni siku ya kawaida.

Kuanzia Kesho MH RAIS LOWASSA. Ahandae Faili La Kumfukuza Kazi MKURUGENZI Mkuu Wa TBC BW Clement Mshana.
 

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Messages
5,030
Points
2,000

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2014
5,030 2,000
Vituo vya uhakika vya taarifa zilizoshiba kuhusu Uchaguzi ninavyoona Mimi ni ITV,AZAM na Chanel10. Vile vingine naona havieleweki ni kama watangazaji wake wanaoneka wana hofu sana na kuficha ficha haviko detailed sijui ni kwanini.
 

MLALUKO JR

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Messages
965
Points
500

MLALUKO JR

JF-Expert Member
Joined May 3, 2015
965 500
Hivi ni kwanini tume imeamua kutunyima haki yetu ya kupga kura sisi wanachuo tuliojiandikisha vyuoni but now tupo likizo ma-kwetu.

Nimefanikiwa kufka vituo viwili hapa Dodoma lakini hkuna form no 16 kwa ajili ya wanachuo.Nahisi sio haki kikatba!

Tupeane mtazamo.
 

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Messages
6,934
Points
2,000

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2010
6,934 2,000
Wadau Azam Tv watakua live kwa masaa 72 wakikuletea matangazo ya kinachojiri kuhusu uchaguzi mkuu toka kila pande ya nchi yetu kwa teknolojia ya hali ya juu...
 

Ngonini

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2010
Messages
2,024
Points
1,195

Ngonini

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2010
2,024 1,195
Wao wanapebda mambo ya gizani kila kituvsijui wanafanyaga nini huko gizani! Hawapendi vitu viwe wazi kila kitu kinafanywa sirisiri, matokeo sirisiri utafikili ni mali ya mtu!
 

multmandalin

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2012
Messages
1,939
Points
1,225

multmandalin

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2012
1,939 1,225
Nawapongeza sana ITV, na EATV, huu ndo uzalendo, mnatia hamasa sana kwa watanzania, kila kitu live. Hata mtu anayeangalia kutoka Marekani anajua kinachoendelea hapa nchini. Mnasitahili pongezi za dhati kabisa.

Naungana na Mh. Mkosamali kwamba ukitaka kupata shida nchi hii deal na vitu vya serikali, TBC1 wanaonesha vipindi vya watoto kana kwamba ni siku ya kawaida.
Vipi kuhusu kibaraka wa TBC dogo Diallo wa StarTV?
 

Chilumba M

Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
35
Points
0

Chilumba M

Member
Joined Oct 16, 2015
35 0
Pocha kama ujafanya tafiti usiongeze!! Yaani unasifia TV ambazo zinaonesha recorded, tune Azam Tv upate habari za instantly na zisizo na upendeleo! Tv zako hizo ni za mlengo wa mgombea fulani
 

Forum statistics

Threads 1,382,394
Members 526,366
Posts 33,826,667
Top